
A - Level Past Papers
Reviews:
0
Category:
Education
Description
Jipatie maswali ya mitihani iliyopita (Past Paper & Quizzes) kwenye simu yako ya mkononi kupitia mobile app ya A - Level Past Papers.
Wanafunzi / walimu wa kidato cha pili (II) na nne (IV) wanaweza kupakua mobile app ya O - Level Past Papers kwa ajili ya kupata maswali ya mitihani ya taifa iliyopita kama njia mojawapo ya kujiandaa na mitihani ya Taifa ambayo inafanyika kila mwaka.
Past papers za masomo yote zinapatikana kwenye ii mobile app bure kabisa!!
Product ID:
XPFPDHR56TS0S6
Release date:
0001-01-01
Last update:
0001-01-01