Habari App
Habari App
Rating (5)
Reviews: 1
Category: Navigation & maps

Description

Habari App imetengenezwa kwa faida ya
wakimbizi wapya wanaowasili katika kambi
ya Dzaleka.
Pia inaweza kutumiwa na watu mbalimbali ambao wanattembelea kambi ya Dzaleka na wangependa kujifunza au kuongozewa katika huduma za jamii.

Inasaidia mtumiaji ndani
ya Kambi kujua taarifa zote muhimu kuhusu;
ofisi, vyanzo vya maji, zahanati(Hospitali) ,
kitengo cha polisi na shule zilizopo.
Pia, program hii inawasaidia wakazi wa Dzaleka
wale ambao hawaju English na Chichewa kuweza
kupata utangurizi mzuri
wa maneno muhimu ya lugha hizo. Hii hufanyika
kupitia maandishi na sauti.
Kwa sasa uwezekano wa hii program umesimamia
kuingiya ndani ya simu za Microsoft na kompyuta
zilizo na toleo la windows 10.

  Habari App hairuhusu yoyote ule kurekebisha bila 
  ruhusa ya masomo ya ujuzi wa kutengeneza maprogramu 
  ya AppFactory Dzaleka.


  Tafadhali kama una maoni yoyote ambayo unadhani kama
  kuna kitu ambacho kimekosa ndani ya hii programu au 
  kitu ambacho unadhani
  ni muhimu kuongezwa ndani ya program hii, wasiliana nasi
  kupita Dzaleka AppFactory.

Piga simu Namba: 0991384849 au email [email protected]

Product ID: 9NFWNL9K6XLH
Release date: 2017-11-20
Last update: 2022-03-12